Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Februari 16 imetimia mwaka mmoja tangu waasi wa AFC/M23 walipouteka rasmi mji wa Bukavu ambao ni mji mkuu wa jimbo la Kivu kusini.