Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu wanane wamefariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya ...
Kuripotiwa kwa kesi zinazoshukiwa za mlipuko wa virusi vya Murbag ... Kesi zaidi zinatarajiwa kutambuliwa. Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ilikumbwa na mlipuko wa kwanza mwezi Machi 2023.
Viongozi mbalimbali walihudhuria mkutano huo wakiwemo wakuu wa wilaya za Mkoa wa Morogoro ... Banyeza ambae ni mkulima mdogo kutoka Mkoani Kagera, amesema changamoto iliyopo ni serikali ...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Erasto Sima, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao wanaostahili kuanza ...