Aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Salomon Kalou, amesema ni nchi yake pekee ndiyo inaweza kuizuia Nigeria ...
Hatimaye mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya England, Alex Oxlade-Chamberlain, ameweka wazi anatarajia kufanya nini, baada ...
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim amejibu ukosoaji uliotolewa mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Cristiano Ronaldo, ...
TIMU ya JKU, imesitisha mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Seif Bausi Nassor kwa makubaliano ya pande mbili, ikiwa ni baada ...
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally aliyeteuliwa kuwa msaidizi wa Miguel Gamondi wa Singida Black Stars kuinoa timu ya taifa ...
KOCHA, Ruben Amorim amekiri kwamba kufeli kwa Manchester United kufuzu michuano ya Ulaya na kutupwa nje mapema katika Kombe ...
Idadi hiyo ya mabao ni kubwa kuzidi mastraika wote wa Ligi Kuu England wanaoonekana kuwa ni mahodari wa kutikisa nyavu, ...
ZUBAA ile kwako. Ndicho unachoweza kusema kwenye mchakamchaka wa mikikimikiki ya Ligi Kuu England wikiendi hii, ambapo macho ...
KOCHA wa Tottenham hotspur, Thomas Frank anadaiwa kuwasilisha jina la straika wa Al-Ahli, Ivan Toney kwa mabosi wa Spurs ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amepewa ruhusa na mabosi wake kuendelea kuwapa nafasi ya kucheza mastaa wake kwa ...
HABARI ndo hiyo. Kuna makinda 10 wa Ligi Kuu England katika orodha ya wanasoka wenye umri mdogo na wenye thamani kubwa kwenye ...
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Matheo Antony amesema nyota njema huonekana asubuhi akiamini msimu huu kwake utakuwa wa kurejesha ...