Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi, ambapo sasa kitakuwa Sh. 358,322, kutoka Sh. 275,060, ...
SERIKALI imesema hivi karibuni inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini. Imesema katika mwongozo huo unatarajia ...